MBINGU MPYA NA NCHI MPYA na Mch. Zephaniah Mwalusambo

Описание к видео MBINGU MPYA NA NCHI MPYA na Mch. Zephaniah Mwalusambo

MINGU MPYA NA NCHI MPYA miongoni mwa fundisho ambalo limekuwa likileta utata sana katika akili za watu ni hili juu ya Mbingu Mpya na Nchi Mpya, ungana na Mch. Zephaniah Mwalusambo, akifafanua kwa upana juu ya fundisho hili.

#https://pataufahamu.blogspot.com/

Комментарии

Информация по комментариям в разработке