BINTI AMFANYIA MAMAKE PRANK KUPATA KUPATA UMAARUFU MTANDAONI NA KUGEUKA KUWA MAUTI KWA MAMAKE PART 1

Описание к видео BINTI AMFANYIA MAMAKE PRANK KUPATA KUPATA UMAARUFU MTANDAONI NA KUGEUKA KUWA MAUTI KWA MAMAKE PART 1

#TambiraDrive kwenye Divine Dialogue awamu ya Kwanza

Binti mmoja amfanyia mamake prank kwa kumpigia simu na kisha kumueleza kwamba amejiunga kwa kikundi cha illuminati kwa hivyo anahitaji kumtoa mamake kafara..baada ya siku chache hivi mamake kagongwa na mbuzi na kufariki papo hapo....Familia na majirani wamemtenga kwamba ni yeye aliyemtoa mamake kafara...

DIVINE DIALOGUE PART 1

#RadioMatumaini
#TambiraDrive

Комментарии

Информация по комментариям в разработке