WIMBO WA MCHUNGAJI MWEMA (Video HD) KMMY-DUCE

Описание к видео WIMBO WA MCHUNGAJI MWEMA (Video HD) KMMY-DUCE

Huu wimbo ni miongoni mwa nyimbo kumi za ALBAM ya MCHUNGAJI MWEMA ambayo imeimbwa na Kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Duce Parokia ya Mtakatifu Maurusi Kurasini Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Karibu kuitazama inaviwango vya HD . Usisahau ku-like ku-share na ku-coment. Mungu akubariki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке