Jay Melody; Nyota wa Afrika Mashariki anayetamba kwa tungo za mapenzi

Описание к видео Jay Melody; Nyota wa Afrika Mashariki anayetamba kwa tungo za mapenzi

'Macho na lips zake...Yani kama nimeokota dodo chini ya mpera, na siambiliki hata kidogo...'🎶🎶

Tungo za mapenzi zina soko zaidi
-
-
Ungana na Nyota wa Afrika Mashariki Jay Malody @realjaymelody akizungumza na @rmziwanda_official kuhusu kisa kilichomfanya kuacha kuandika tungo za muziki kwa ajili ya wanamuziki wengine na kuamua kuimba mwenyewe

Youtube BBC Swahili

#bbcswahili #burudani #nyotawaafrikamashariki #tanzania #kenya #bongofleva

Комментарии

Информация по комментариям в разработке