Jinsi Ya Kutengeneza Labania/Kashata Za Njugu

Описание к видео Jinsi Ya Kutengeneza Labania/Kashata Za Njugu

Ingredients/Mahitaji
*Karanga/Njugu ¼kg
(zilizokarangwa na kusagwa)
*Sukari Kikombe 1
*Maji Kikombe Kimoja
*Iliki iliyosagwa ¼ kijiko Cha chai
*Arki Ya Vanilla

Комментарии

Информация по комментариям в разработке