DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700

Описание к видео DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700

Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa kampuni ya TUDELEY Jensen Natal pamoja na mwanasheria wa kampuni hiyo Edward Mrosso kwa kosa lakukwepa kodi ya zaidi ya milion 700

Комментарии

Информация по комментариям в разработке