Darsa ya Asubuhi Sharhu Usulu Sunnah القٌرآنُ كَلَامُ اللهِ لَيسَ بِمَخْلُوقٍ🔴 LIVE | Darsa (III)

Описание к видео Darsa ya Asubuhi Sharhu Usulu Sunnah القٌرآنُ كَلَامُ اللهِ لَيسَ بِمَخْلُوقٍ🔴 LIVE | Darsa (III)

Darsa ilifanyika Dhul Hijjah 24, 1445H Jumapili Juni 30, 2024

القٌرآنُ كَلَامُ اللهِ لَيسَ بِمَخْلُوقٍ
Qur-aan ni maneno ya Allah na wala si mahuluku

SEHEMU YA TATU

القٌرآنُ كَلَامُ اللهِ ولَيسَ بِمَخْلُوقٍ، ولاَ يَضْعُفُ أَنْ يَقُولَ: لَيسَ بِمَخْلُوقٍ.
قَالَ: فإنَّ كَلاَمَ اللهِ لَيْسَ بِبَائِن مِنْهُ، وَلَيْسَ مِنْهُ شَيءٌ مَخْلُوق، وإِيَاكَ وَمُنَاظَرَة مَنْ أَحْدَثَ فِيهِ، وَمَنْ قَالَ: بِاللَّفْظِ وغَيْرِهِ، وَمَنْ وَقَفَ فِيهِ فقال: لاَ أَدْرِي مَخْلُوقٌ أَوْ لَيْسَ بِمَخْلُوقٍ، وَإِنَّمَا هُوَ كَلاَمُ الله، فَهَذَا صَاحَبُ بَدْعَة مِثل مَنْ قال: (هوَ مَخْلُوقٌ)،
وَإِنَّمَا هُوَ كَلاَمُ الله لَيْسَ بِمَخْلُوقٍ.
Qur aani ni Maneno ya Allah na wala si mahuluku, na wala asidhoofu (usiwe legevu/mnyonge/dhaifu) kusema kuwa si mahuluku. Amesema: Hakika Maneno ya Allah hayakutengana Naye, na hakuna chochote kile (miongoni mwa Sifa za Allah au Maneno Yake) ambacho ni mahuluku, na tahadhari kujadiliana na wale waliozusha katika jambo hili, na (pia) mwenye kudai kuwa lafdhi (usomaji wake wa Qur aani ni mahuluku) na yasiyokuwa hayo, na (pia) na yeyote yule asiyekuwa na msimamo thabithi kuhusu jambo hili na kudai kuwa: Sielewi kama ni mahuluku au si mahuluku, kwa hakika Qur aani ni Maneno ya Allah, basi huyu ni sahiba wa bidaa mithili wa yule mwenye kudai kuwa (Qur aani ni mahuluku); kwa hakika Qur aani ni Maneno ya Allah na wala si mahuluku.


   • The Foundations of the Sunnah | Lesso...  
   • The Foundations of the Sunnah | Lesso...  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке