HIZI NDIZO SABABU ZA YESU KUTOKWENDA MAKKAH. SHEIKH HABIBU MAZINGE

Описание к видео HIZI NDIZO SABABU ZA YESU KUTOKWENDA MAKKAH. SHEIKH HABIBU MAZINGE

Darasa ilitolewa na Sheikh Mazinge baada ya swala ya Ijumaa Msikiti wa Nuruyakin Temeke Dar es Salaam Tanzania Tarehe 6/11/2020, Sheikh mazinge alipatia nasha mbalimbali waumini baada ya swala ya ijumaa, na moja katika maswali mazito aliyoulizwa katika mihadhara yake ni swali hili, tazama hadi mwisho upate kuelimika, tunaomba usambaze ujumbe huu kwa wingi na Allah atawalipeni InshaAllah.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке