WANAWAKE WANAOLEWA WAKIWA BIKRA | WANAWIVU SANA UNAOPELEKEA HATA KUUA|NCHI NDOGO ZA ULAYA ZINA FURSA

Описание к видео WANAWAKE WANAOLEWA WAKIWA BIKRA | WANAWIVU SANA UNAOPELEKEA HATA KUUA|NCHI NDOGO ZA ULAYA ZINA FURSA

Henry ameeleza Safari yake kutoka Tanzania mpaka Azerbaijan ambapo kilichompeleka ni masomo..

Ameeleza maisha ya Azerbaijan na fursa zinazopatokana huko, na namna mahusiano yalivyo kwa watu wa huko.

Yeye alifocus zaidi kwenye nchi ndogo ndogo akiamini ndio zenye fursa nzuri zisizo na ushindani mwingi.

Thank you Henry for allowing this to be online

www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке