PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q

Описание к видео PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q

Baada ya Godzilla kufungua Dimba kwa flow kali kwenye Dakika 10 za Maangamizi wiki iliyopita. Maombi ya wadau wa Planet Bongo yamezingatiwa na hatimaye Farid kubanda Fid Q amedhihirisha kwamba yeye ni nani kwenye Hip Hop.
Nawe unaweza kupendekeza na ni afuate wiki ijayo kufanya Maangamizi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке