CAG Mstaafu PROF ASSAD, KATIBU MKUU KIONGOZI ZNZ WATOA UJUMBE MZITO KWA WANAOJIUNGA VYUO VIKUU..

Описание к видео CAG Mstaafu PROF ASSAD, KATIBU MKUU KIONGOZI ZNZ WATOA UJUMBE MZITO KWA WANAOJIUNGA VYUO VIKUU..

CAG Mstaafu PROF ASSAD, KATIBU MKUU KIONGOZI ZNZ WATOA UJUMBE MZITO KWA WANAOJIUNGA VYUO VIKUU..

Aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amesme kuwa wanafunzi wa kike wanapaswa kuzingatia masomo yao wanapokuwa katika vyuo na si vinginevyo tofauti na wengi wao wanapofika vyuoni na kugeuka kujihusisha katika mahusiano na hivyo kuwafanya kupoteza ndoto yao ya malengo.

Kauli hiyo ameitoa leo wakati akiwahisi wanafunzi wahitimu kidato cha sita katika shule za Sekondari za Al Hikma za jijini Dar es Salaama ambao wanatarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mwezi wa kumi 2022.

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES  

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Комментарии

Информация по комментариям в разработке