BETHA FREDRIC MWANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA SERENGETI SEKONDARI

Описание к видео BETHA FREDRIC MWANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA SERENGETI SEKONDARI

Wanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya Serengeti Sekondari wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara washauliiwa kufungua akaunti za Bank ili kuepukana na usumbufu wa kupata mikopo pindi wanapochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu.
Hayo yamesemwa na Betha Fedric mwanafunzi wa kidato cha sita katika shule hiyo wakati wakipokea msaada wa mabati kutoka katika Bank ya NMB tawi la Mugumu mara baada ya kuunguliwa na bweni.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке