MZEE MSUMI" HATUMTAMBUI MAGOMA/ANATUMIKA KUCHAFUA KLABU/KUNA WATU WAMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA

Описание к видео MZEE MSUMI" HATUMTAMBUI MAGOMA/ANATUMIKA KUCHAFUA KLABU/KUNA WATU WAMEJIFICHA NYUMA YA PAZIA

Leo July 17,2024 Mpenja TV Tumefika Makao Makuu ya Yanga Jangwani na tumezungumza na baadhi ya Wazee waliopo kwenye Baraza la Wazee wa klabu hiyo, Kuhusu kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo mara baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa uongozi uliopo Madarakani, ukiongozwa na Eng Hersi Said ung'atuke madarakani.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке