ALICHANA PASSPORT YANGU | ALINITELEKEZA NIKIWA MJAMZITO KWENYE NYUMBA ILIYOISHA KODI

Описание к видео ALICHANA PASSPORT YANGU | ALINITELEKEZA NIKIWA MJAMZITO KWENYE NYUMBA ILIYOISHA KODI

Mary Mswedish ameeleza safari yake ya maisha tokea Makongo Sekondari mpaka kutofanya vizuri kwenye masomo ya chuo.

Akaamua kutengeneza safari ya Ulaya na kufanikiwa kudondokea Italy akiwa na euro 150 tu mfukoni.
Akaunga kwa treni mpaka Ufaransa ambako ndio safari yake ya maisha ilipopata taswira nyingine baada ya kukutana na mama wa ki Congo aliempeleka nyumbani kwake kumpatia hifadhi ya kulala.

Alikutana na mwanaume aliemtoa Paris mpaka Belgium, ambae alikua ametoka kupeana talaka na mwanamke mwingine na yupo kwenye uchumba na mtu mwingine na wakati huo akimtaka Mary kua girlfriend wake.

Alipata ujauzito na mwanaume huyu alimkimbia kuelekea Africa kutafuta mke wa kuoa na kumtelekeza kwenye appartment yenye deni la kodi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке