Kamwe asema mchezaji wa Augsburg alimfuata Maxi Nzengeli kungea nae

Описание к видео Kamwe asema mchezaji wa Augsburg alimfuata Maxi Nzengeli kungea nae

#MpumalangaPremiersInternationalCup2024: Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema kuna mchezaji wa Augsburg amemfuata kiungo wao Maxi Nzengeli akiwa chumba cha kubadilishia jezi na kumwambia kwamba yeye na Jamal Musiala tofauti yao ni nywele tu.

Matokewo ni FC Augsburg 2-1 Yanga SC

#MpumalangaPremiersInternationalCup2024 #Mpumalanga #YangaSC #FCAugsburg #AUGYNG

Комментарии

Информация по комментариям в разработке