Jinsi ya kupika mkate wa nyama (swahili pizza/zanzibar pizza) |farwats kitchen |♡♡♡

Описание к видео Jinsi ya kupika mkate wa nyama (swahili pizza/zanzibar pizza) |farwats kitchen |♡♡♡

MAHITAJI
Unga wa ngano vikombe 2
Maji kikombe kasrobo (3/4)
mafuta kijiko 1 kikubwa
chumvi kiasi

Nyama 1/2kg
kitunguu thomu 1tsp
chumvi kiasi
pilipili manga 1tsp
mdalasini 1tsp
bizari nyembamba 1tsp
Vitunguu maji 3 vikubwa
pilipili boga 1
Dania 1
Carrot 1
Mayai 6

Instagram @farwats_kitchen
Email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке