SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA

Описание к видео SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA

Kwanza kabisa natubu mbele ya muumba mbingu na nchi sijui hukumu yangu mbele yake kwa yote niliyoyatenda, pili wifi na kaka yangu kwa kumpatia mateso mazito ambayo siamini binadamu kama mimi kufanya ukatili mzito kama ule. Kila nikifikiria hukosa amani ya moyo. Nilijifananisha na shetani kiumbe kisicho na huruma kwa mwanadamu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке