Tamko la serikali kuhusu maziko ya wahanga wa jengo la Kariakoo

Описание к видео Tamko la serikali kuhusu maziko ya wahanga wa jengo la Kariakoo

Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kuongeza nguvu kuwatoa watu walionasa chini siku nyengine zaidi baada ya kupata changamoto katika uokoaji. Waziri ofisi ya waziri mkuu William Lukuvi pia amesema serikali inaandaa mazishi ya kiserikali kwa watu waliofariki katika ajali hio. Miili mengine imeonekana ikitolewa usiku huu ambapo amesema zoezi hilo litaendelea usiku huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке