Tumbatu Island - Zanzibar. No Cars, No Electricity, No Phones

Описание к видео Tumbatu Island - Zanzibar. No Cars, No Electricity, No Phones

Tokea nilivyorudi Tanzania, mimi na dada yangu Bernice Fernandes tumeweka kipaumbele cha kujitolea na kuitumikia jamii inayotuzunguka. Tokea 2015 nimekuwa mwenyeji wa zaidi ya wageni 200 hapa Tanzania kutokea Stanford, Harvard, MIT na vyuo vingine vichache. Tunaamini katika umuhimu wa kutenga muda kwaajili ya kuwekeza kwa watu wanaotuzunguka na kuonyesha upendo kwa jamii. Hii hapa ni video inayoenyesha safari yetu ya mwisho ya mwezi uliopita, tuliwachukua wageni kutoka vyuoni na kuwapeleka kisiwa cha TumbatuNgoja nikwambia kuhusu kisiwa cha Tumbatu.
#Tumbatu ni mojawapo ya kisiwa kilichojitenga sana na mjini ambacho nimewahi kufika.Imekaa kwenye pwani karibu na #Zanzibar.
- Ilianzishwa karne ya 11 na Mwajemi/Persians
- watu 14,000 wanaishi huko
- Hamna umeme
- hamna magari wala pikipiki
- hamna huduma za simu
- watu wengi kwenye kisiwa walikuwa hawajawahi kuona wazungu

Tulitumia muda kujenga mitambo ya umeme ya kutumia nishati ya jua ili kuwasaidia wanajumuia wachache wa eneo. Hii hapa ni video inayoonyesha

Sasa naomba msaada wako katika mradi wangu unaofuata, mpaka sasa nimepata msaada mkubwa kutoka maeneo ya vijijini ambapo watu zaidi ya 16,000 wameshajisajili.Nafanya kazi kujenga kitu fulani ambacho kitasaidia huduma za kifedha hapa nchini TanzaniaKama utapenda kuwa miongoni mwa watu maalum wa kupata fursa katika huduma hii, ama kupata maelezo zaidi, tafadhali jisajili hapa, inatumia chini ya sekunde 30 kujiunga:

www.nala.money
1. Bonyeza "JIUNGE UWE MIONGONI WA WATU MAALUM WANAOISUBIRIA"
2. Jaza jina lako/number ya simu n.k
3. Kisha uiwasilishe
4. Kama utapenda kuongeza nafasi yako (kukurusha juu kwenye orodha ya wanaosubiria) ya kupata fursa kwenye mradi wangu unaofuata, tafadhali wakaribishe marafiki zako wajiunge pia na waambie kuwa wakuandike wewe kama mtu uliowafahamisha kwenye sehemu ya "Umesikiaje kuhusu NALA"

Ahsante sana/ Mungu awabariki wote.

Benjamin

Credit: Abdul Jafary of NAD Edutainment

ENGLISH:
Since moving back to Tanzania, I've made it a priority to find ways my sister Bernice and I can voluntarily serve the communities around us. Since 2015 we've hosted over 200 guests in Tanzania from Stanford, Harvard, MIT and a few other universities. We believe in the importance of taking time to invest in the people around us and showing love to the community. Here's a video of our last trip last month, we took out guests from Case Western Reserve University to Tumbatu Island. Let me tell you about Tumbatu Island.
Tumbatu is One of the most remote islands I have ever been to. It lays on the coast next to #Zanzibar.
- Established in the 11th Century by Persians
- 14,000 People live there
- No Electricity
- No Cars or Motorcycles
- No Phone service
- Many people on the island had never seen a white person before.

We took time to build solar panel installations to help a small community of people there. Here's a video recap.

Now I ask for you to support me in my next project, I've gotten a lot of support from the rural regions with over 16,000 people signed up. I'm working to build something to support financial services in Tanzania. If you would like exclusive access to this service or to find out more information, please sign up here, it takes less than 30 seconds: www.nala.money
1. Click "Join the Exclusive Waitlist"
2. Fill in your name/phone number etc
3. Then submit.
4. If you would like to increase your chances (bump you up in the wait list) of having access to my next project, please invite your friends to sign up as well and have them mention that they were referred by you in the "How did you hear about Nala section."

Asante sana, God Bless You all.

Benjamin

Thanks to Abdul Jafary from NAD Entertainment for producing this video.

Tumbatu Island is the third-largest island making up Zanzibar, part of Tanzania in East Africa. The island is located off the north-west coast of Zanzibar's main island, Unguja.

The wedge-shaped island is 8 kilometres (5.0 mi) long but only 2 kilometres (1.2 mi) wide at its widest point (in the south). It is surrounded by a reef, making it somewhat isolated from the rest of Zanzibar, even though its southern shore is only 2 kilometres (1.2 mi) from Mkokotoni on Unguja Island.

The island has two towns in the south, Jongowe and Kichangani.

Historically, the island is of interest. Islanders who belong to the Shirazi ethnic group claim descent from Persian royalty that reputedly arrived in the ninth century. Important ruins at Makutani in the south-east of the island were one of Zanzibar's main settlements.

The late medieval city (13th century) was described in a chronicle known as the "Tumbatu Manuscript". This unique manuscript was apparently burned in a big fire in the village circa 1938. Nevertheless, it inspired Dutch maritime anthropologist and ethnohistorian A. H. J. Prins to visit the island by dhow from Zanzibar and identify the ancient Shirazi port city's ruins in June 1957.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке