Jux - Sio Mbaya (Official Audio)

Описание к видео Jux - Sio Mbaya (Official Audio)

Jux delivers the official audio for Sio Mbaya, off his 2019 album titled 'The Love Album'.

Available Worldwide:
http://africori.to/juxthelovealbum.oyd

© 2019 African Boy

Follow Jux
Facebook:   / juma-jux-553  
Instagram:   / juma_jux  
Twitter:   / africanboyjux  

Subscribe here: - http://smarturl.it/YouTube_Subscribe
Digital distribution: http://www.africori.com/

More from Jux:
Sugua ft. Diamond Platinumz:    • Jux - Sugua [Feat. Diamond Platnumz] ...  
Wambela ft. Ruby:    • Jux - Wambela [Ft. Ruby] (Official Au...  
Umenibamba:    • Jux  - Umenibamba (Official Audio)  

Lyrics:

Intro:
Aah ha ha, Aah ha ha
Aah ha ha, Aah ha ha

Verse:
Kwa nini ukiniona
Unakosa furaha
Ziache kona kona
Kwa nini ujipe karaha mama
Mi najua unachotaka wee
Unachowazaga
Ata mimi napitiaga
Ila tu najikaza eeh

Pre-Chorus:
Na siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako naona loneliness (Loneliness)
Siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako kuna loneliness (Loneliness)

Chorus:
Najua kuna vingi we husemi
Kwangu mimi sio mbaya
Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya
Ah tell me, kwangu mimi sio mbaya nieleze
Endapo utanimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya
Nipigie, kwangu mimi sio mbaya
Mama uniambie, kwangu mimi sio mbaya yani nieleze

Bridge:
Mmmmh, yeaah
Nieleze, nieleze
Oooh no no no no
Yeeeiyeee

Verse:
Kuna mazuri mengi umefanya
Sikutangaza ubaya (aaah)
Kuna mazuri mengi nimefanya
Sitokusemea ubaya (aaah)
Please let me know oh oh oh
Nijue kweli, sio maigizo (maigizo)
Let me know oh oh oh
Labda we mimi sina tatizo, (tatizo)

Pre-Chorus:
Na siwezi kumaliza verse (Nooo)
Bila kusifia your pretty face
Machoni mwako naona loneliness (Loneliness)
Siwezi kumaliza verse
Bila kusifia your pretty face (your pretty face ye)
Naona loneliness aah (Loneliness)

Chorus:
Najua kuna mengi we husemi
Kwangu mimi sio mbaya
Ah sio mbayaaa, kwangu mimi sio mbaya
Sio mbayaaa, kwangu mimi sio mbaya
Mama nieleze
Ukinimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya
Mama maama maama, kwangu mimi sio mbaya
Nasema kwangu mimi sio mbaya nieleze

Outro:
Moyo wako unataka taka
Mdomo wako nakataza taza
Naamua kunyamaza maza
Bora useme unachowaza waza (Unajua mama)
Kwangu mimi sio mbaya (Eyeeee)
Kwangu mimi sio mbaya (Ooaahaah)
Kwangu mimi sio mbaya nieleze (kwa niniiii)
Ukininimiss just call me
Kwangu mimi sio mbaya (aaah aah)
Kwangu mimi sio mbaya (oooh ooh)
Kwangu mimi sio mbaya nieleze eeh

#Jux #TheLoveAlbum #SioMbaya #AfricanBoy

Комментарии

Информация по комментариям в разработке