ELIMU YA MIKOPO NA KUKOPESHA - Victor Mwambene.

Описание к видео ELIMU YA MIKOPO NA KUKOPESHA - Victor Mwambene.

Baada ya kutazama somo hili utajifunza jinsi ya kumkopesha mtu sahihi na kuhakikisha anarudisha fedha zako iwe ni mteja, rafiki au ndugu yako.
.
.Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке