Sunshine (with English Subtitles)

Описание к видео Sunshine (with English Subtitles)

Rufu ni kijana msomi na mwenye hasira. Hakubaliki kazini kwasababu ya ulevi, madawa ya kulevya na wanawake ambao wamemsababishia matatizo mengi. Akiwa na miaka 22 tu tayari anatumia madawa ya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi na kujiingiza kwenye maisha ya uhalifu mdogo mdogo.

Rufu anatoka kwenye familia nzuri na yenye upendo. mama yake, mama Eva ni mwanamke anayefanya kazi kwenye mgahawa kwa bidii na mtoto wake Eva

Mama Eva anajua maisha ya Rufu yanategemea kula chakula chenye afya, na kuishi kwa kutumia dawa zake. Anawasiwasi kuhusu mtoto wake na dhiki inamuua.

Wakati Mama Eva amezimia na kushauriwa kwamba anahitaji upasuaji wa moyo wakati familia yake ni duni. Rufu anaamua kuliweka jambo hili mikononi mwake mwenyewe. Afanye nini ili apate fedha kwa ajili ya mahitaji ya familia na kuokoa maisha mama yake.

Hii ni hadithi ya upendo kati ya mama na mtoto wake.


--------------------

Rufu is educated and smart but restless and angry. He can’t hold down a job and is easily distracted by drink, dope and women, which have landed him nothing but trouble. At just 22 he’s already on ARVs and slipping into a lifestyle dominated by petty-crime.

Rufu is from a good and loving family. His mother, Mama Eva, a hard working entrepeneur, runs a successful restaurant with his siter Eva.

Mama Eva knows Rufu’s survival depends on healthy eating, living and adherence to his medication. She is worried sick about her son. And the stress is killing her.

When Mama Eva collapses and advised that she needs heart surgery the family cannot afford, Rufu decides to take the matter in his own hands. How far will he go to secure the cash the family needs to save his mothers life?

A story of unconditional love between mother and son.

Bongo movie | swahili

Комментарии

Информация по комментариям в разработке