Brayban Ndio mana (Official Music Audio)

Описание к видео Brayban Ndio mana (Official Music Audio)

#mapenzi #mahusiano
#ndiomana is a love song created by me ​⁠‪@Brayban‬ specifically to insist the situation of leting things go, to keep calm with our beloved ones to make sure we spread love with each other and sometimes beg for forgiveness whether you have made a mistake or not, you know love is the beautiful thing created by God.

Lyrics
Verse 1
Ni sawa naishi nawewe ndani,
Ila moyo wako upo kwa mtu mwingine
Ni sawa siwezi kusoma ramani,
Ina maana picha siiooni?
Nakusikiliza kwa kila jambo,
Ushauri unaomba kwingine
Ni sawa siwezi kusoma ramani,
Ina maana picha siiooni?

Ndio maana (ukisemwa kidogo unanuna)
Ndio maana (mara nyingine unauchuna)
Ndio maana (roho yangu inaniuma)
Ina maana ( hunionei huruma

Chorus
We fanya visa ila ( niko pale pale)
Mapenzi yangu bado (yako pale pale)
Inaniumiza ila (niko pale pale)
Mapenzi yangu bado yako pale pale

INSTRUMENTAL

VERSE 2
Nishakujua babe una hasira,
Ndio maana mimi najishusha chini
Sipendi tunavyorushiana mpira,
Lawama zote nitabeba mimi

Si unajua kipenzi bila we mi si chochote,
Nisamehe saba mara sabini,
Tumalize majino tuzeeke tukiwa wote!
Mara mia kipeenzi ningekuwa na mwingine,
Pengine ningeona sawa,
Tumalize ujana tuzeeke tukiwa wote

Ndio maana (ukisemwa kidogo unanuna)
Ndio maana (mara nyingine unauchuna)
Ndio maana (roho yangu inaniuma)
Ina maana ( hunionei huruma

Chorus
We fanya visa ila ( niko pale pale)
Mapenzi yangu bado (yako pale pale)
Inaniumiza ila (niko pale pale)
Mapenzi yangu bado yako pale pale

Комментарии

Информация по комментариям в разработке