Nyanda Masebhu Machimboni (Video_Copy) Upload by +255789811605

Описание к видео Nyanda Masebhu Machimboni (Video_Copy) Upload by +255789811605

#VideoCopy #roget #DAINERD_BRANDS
Wimbo Huu umemzungumzia Kijana yupo Machimboni alitoka kwenye familia yake kwa lengo na nia kwenda kutafta maisha anamwambia mke wake asikate taamaa kumumbea lakini pia awe mvumilivu avumilie siku atakapo rudi nyumbani watafrahi wakiwa wote ila ujumbe wa nyimbo hii umechanganywa sana na muimbaji mwanza kaimba kuwa anaenda kuwasalimia wazazi wake baadae akabadilika akaanza kuimba machimbo nakumuaga mke wake kwamba anaenda kutafta maisha

AUDIO STUDIO ELISHADAI STUDIO.
VIDEO STUDIO GEITA ASILI YETU
PRODUCERS Black Nyene (Barozi wa watu weusi) & Montana
SHOOT AND EDITORS Black nyene Barozi wa watu weusi

Msanii bajeti yake ilikuwa batili na alitamani ujumbe ufike kwa Umma ilitubidi tucoppy wachezaji kwenye video ya mtu mwingine ili kuweka uhalisia kwenye kazi ya msanii huyu hayo Madensa unaowaona wanacheza video hii ni madensa wakupachika niliwatowa kwenye Video na wimbo wa Rogeti_-_Ng'wana Mrisho ambayo Director Ni #MKEMIA Tunaomba Radhi sana kama wahusika wa Video hiyo ya Rogeti a.k.a Chuo Shamalange Endapo wataiona Video hii wasituchukulie vibaya ni upungufu wa Bajeti ndio maana tukaamua kufanya Hiv Asanteni sana

#DAINERD_BRANDS

Комментарии

Информация по комментариям в разработке