Sewersydaa - “Freestyle” (Official Music Video)

Описание к видео Sewersydaa - “Freestyle” (Official Music Video)

#WADA #TheHealingOfANation #Freestye

Follow ‪@SEWERSYDAAMKADINALI‬
https://instagram.com/sewersydaa?utm_...



Produced by @HR The Messenger
Mixed and Mastered by @Aress66
Directed n shot by @kenTheDLL
Choped by @SlimVisuals
Edited by @kenTheDLL and @Bowpa

LYRICS

wizi imekua legal na bado wanajiona ronald reagan
ati unaeza macho cigar lakini usimarwe na ki ingwa
tuko ching don na clique tumetoka kunyweta pima
ka una point tuma pin tutakutokea na pinpoint kwa marima

Seaboat tuliskia three shots maidhaa ya magizan around saa tisa
big coat ndio niweze jificha incase kwa rodi kuna mbaru inapita
mamu usismame kwa speaker hivyo ndo si hujua zako zimeshika
hata step dunda kwa pickup hesabu ulipiga ni ka hazikufika

ningejoin nacada kufight hii shit lakini bado ningekua pande ya weed
wanideport ka harun Aydin alafu wadai venye sina ID
biz ni ya nini kama haiingizi ganji adi siradi
come clean ukiingia westy lakini ukiwa D make sure umejipin

mi uhama na pedi spendi ile maidhaa napiga na hapick
mr masensi wikendi nyi mkiikata mi nko masplif
mweke kwa payslip msome na akicheza na ganji yako mkill
unatukujia uki creep na unakam kwa crib ona sa ulimadwa ukisteal

bro hakua na pen kwa penn so ilibidi amechora kwa ukuta
daniel kwa den na skeng naona kuna mtu mmoja atanyuria
mtoto peng lakini huezi amini vile anakula ki gunga
fist fight unakuja na kucha we ni mwere naona utanyuria

rizla na stula kwa dealer ooh my God naskia zimeisha
mzinka na unamkula kwani umekua ka kabi wa jesus
wadhii ndio unaeza nikuta nikichagua ma luku diriba
sewer ako piwa labda kwa Dau anachemsha birika

neighbour always atawapima juu ako kwa payroll yangu ma gizan
nmetoka kuanua ma timba na ata sjapay loan ya ma teacher
nadondokea masimba from 17 to 14 seater
kuondokea magirimba wamekua wakinifuata nyuma na dinga

2 year old alipigwa kuni kama kisauni hii mtaa ina wahuni
1 man sitembei na kikundi kama ni yako iwache itarudi
riomo alifinyiwa ngumi akararuka sahii amegeuka fundi
nataka Oscar ka sudi More Cash kam Joshua Kutunyi

phone snatch hapo street luthuli spoon fully
jeshi ya koto haitaki kuona ku-fuli
effect ya kua msoto but sazingine pia ni upuzi
stupid ali handover skuizi tunamuita he-ss-y

Комментарии

Информация по комментариям в разработке