PANYA WAHARIBU MASHAMBA YA MAHINDI HANDENI

Описание к видео PANYA WAHARIBU MASHAMBA YA MAHINDI HANDENI

Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga huenda ikakabiliwa na baa la njaa kufuatia uvamizi wa Panya kwenye mashamba ya wananchi na kusababisha uharibifu mkubwa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке