Simulizi hii ya kusisimua inakuonyesha mambo ya kwenye dunia isiyo ya kawaida...
Kijana mmoja mpole aliyehamia mtaani kama mpangaji wa kawaida, anajikuta akikumbwa na mkasa wa ajabu — mimba ya kichawi! Polepole, maisha yake yanageuka kuwa mateso ya kutisha, huku akilazimika kukabiliana na mume wa mwanamke ambae ni mmiliki wa nyumba, aliyeficha siri kubwa ya uchawi.
Je, ni kwanini alichaguliwa yeye? Siri gani imefichwa na baba mwenye nyumba? Na je, ataweza kuishi na laana hii au itamwangamiza kabisa?
🔥 Hadithi hii ni ya kipekee, yenye mchanganyiko wa mapenzi, usaliti, na nguvu za giza!
👉 Tazama mpaka mwisho — usikose dakika hata moja!
💬 Tuambie kwenye comment: "Umefika wapi ukashangaa?"
❤️ Usisahau ku-SUBSCRIBE kwa simulizi nyingine kali kama hii
📲 Follow pia ukurasa wetu wa Facebook: BANKA SIMULIZI
#SimuliziZaKusisimua #SimuliziZaKutisha #MimbaYaMasinya #Storytelling #Narrative #HorrorStoryAfrica #UswahiliniDrama
Simulizi,Simulizi mix,Simulizi za kutisha,Simulizi za ankojay,Simulizi za kiswahili,Simulizi za mapenzi za kusisimua,Simulizi na sauti,Simulizi forum tv,Simulizi za mapenzi,Simulizi za kusisimua,hadithi,simulizi za salma,simulizi za sauti,hadithi za makanaki,simulizi forum tv,kim story tales,simulizi za maria,story za moric,african simulizi,swahili fairy tales,swahili animation,simulizi za kenya,clamvevo,Dunia,Professor,movie recap swahili,Kiparabrand, Narrative,horror stories,storytelling
Информация по комментариям в разработке