LIVE ▶ | IBADA YA KWANZA | JUMAPILI | 09 / 06 / 2024

Описание к видео LIVE ▶ | IBADA YA KWANZA | JUMAPILI | 09 / 06 / 2024

Karibu katika Ibada ya Jumapili, Siku ya Bwana ya Pili baada ya Utatu

▶ SOMO: HERI WENYE MOYO SAFI
Mathayo 5: 43 - 48

..................
ZABURI 81: 8 - 10
8. Enyi watu wangu, sikieni, nami nitawaonya, Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
9. Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.
10. Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.

WAKOLOSAI 3: 12 - 17
12. Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu,
13. mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.
14. Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.
15. Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani.
16. Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
17. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.

MATHAYO 5: 43 - 48
43. Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
44. lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
45. ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
46. Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mnapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
47. Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi sawa na hayo?
48 Basi ninyi iweni wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.


▶ MHUBIRI: Mch. Canon Jacob Kahemele
..........
👇👇👇

// NAMBA ZA SADAKA //

▶ LIPA KWA [ M-PESA] - 579 579 4
▶ NAMBA YA MPESA - 0757 - 391 - 174

JINA: KKKT AZANIA FRONT CATHEDRAL

▶ MAENDELEO BANK
A/C NO 0137 9274 6021
JINA: LUTHERAN CHURCH AZANIA FRONT CATHEDRAL

TUFUATILIE KWENYE MITANDAO KWA TAHARIFA ZAIDI:
Instagram page:   / kkkt_azaniafrcathedral  
Website: https://www.azaniafront.org/
Facebook:   / kkkt-azania-front-cathedral-101434162039079  
#azaniafrontcathedral #ibada #lunchhour #morningglory #sundayservice #lutheran

Комментарии

Информация по комментариям в разработке