Achraf Hakimi atoa msaada Patandi Arusha, atoa neno, Hersi asimulia alivyomshawishi

Описание к видео Achraf Hakimi atoa msaada Patandi Arusha, atoa neno, Hersi asimulia alivyomshawishi

Hili hapa tukio zina la hafla ya nyota wa PSG, Achraf Hakimi kutoa msaada kwenye shule ya wenye ulemavu Patandi ,iliyoko Tengeru Arusha.

Amezungumza Rais wa Yanga, Hersi Said akieleza jinsi alivyomshawishi Hakimi kuacha alama Tanzania huku akitaja vifaa alivyotoa kwa ajili ya shule hiyo.

Pia amezungumza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas pamoja na Hakimi mwenyewe, kisha likapigwa boli na Hakimi akafunga goli.

Tazama hii

Комментарии

Информация по комментариям в разработке