Familia Ya Nancy Gituanja Yamkumbuka

Описание к видео Familia Ya Nancy Gituanja Yamkumbuka

Kesho taifa litakuwa linaadhimisha mwaka mmoja tangu kutokea kwa ajali ya ndege tarehe 10 mwezi Juni mwaka jana. Ajali iliyowaua watu sita akiwemo aliyekuwa waziri wa ulinzi Profesa George Saitoti na msaidizi wake Orwa Ojode. Sita hao waliaga dunia walipokuwa wakienda kuhudhuria hafla ya kuchangisha pesa katika kanisa moja kwenye eneo Bunge la Ndhiwa lililokuwa likiwakilishwa na Orwa Ojode. Hata hivyo familia ya aliyekuwa rubani wa ndege hiyo mwendazake Nancy Gituanja leo hii wamefanya ukumbusho wake na hawakudinda kutoa kauli yao kuhusiana tukio hilo la kusikitisha.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке