Mwenyekiti alivyochukuliwa na Polisi mbele ya Wananchi kwa agizo la Makonda

Описание к видео Mwenyekiti alivyochukuliwa na Polisi mbele ya Wananchi kwa agizo la Makonda

Imetokea kwenye ziara ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye wilaya ya Ilala ambapo gumzo limemuangukia Mwenyekiti wa mtaa wa Gongo la Mboto na akachukuliwa na Polisi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке