Magoli | Tabora United 2-1 Azam FC | NBC Premier League 13/12/2024

Описание к видео Magoli | Tabora United 2-1 Azam FC | NBC Premier League 13/12/2024

Azam FC imekula mweleka ikipokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tabora United mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

Heritier Makambo amefunga goli la kwanza kwa tabora United na kusababisha goli la pili ambalo golikipa Mohamed Mustafa amejifunga...... Goli pekee la Azam FC limefungwa na beki Yoro Diaby.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке