Kocha Simba afurahia ujio wa mshambuliaji mpya Leonel Ateba

Описание к видео Kocha Simba afurahia ujio wa mshambuliaji mpya Leonel Ateba

Kocha wa Simba, Fadlu Davids amezungumzia ujio wa mshambuliaji mpya wa timu hiyo Leonel Ateba na kusema kuwa hana uhakika kama ataweza kutumika kesho Jumapili kwenye mchezo wao dhidi ya Tabora United.

Golikipa wa timu hiyo Hussein Abel amesema msimu huu wamejiandaa kuchukua ubingwa.

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #GameOn

Комментарии

Информация по комментариям в разработке