Jinsi ya Kutengeneza FALUDA tamu sana | Mapishi ya Ramadhan #5

Описание к видео Jinsi ya Kutengeneza FALUDA tamu sana | Mapishi ya Ramadhan #5

Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya Cheese Balls. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan

Mahitaji:
6g AGAR AGAR Strips
1 cup hot water / maji ya moto
1 ltr milk / maziwa
3 tbsp sugar / sukari
Rose syrup about 1/2 cup

Комментарии

Информация по комментариям в разработке