KUTOKA COMORO: Uko tayari kukaa ktk nyumba ya WIFE? maisha yao je?

Описание к видео KUTOKA COMORO: Uko tayari kukaa ktk nyumba ya WIFE? maisha yao je?

Inawezekana kabisa upo Tanzania au popote pale duniani lakini umekua tu ukisikia kuna sehemu inaitwa Comoro lakini hujawahi kufika wala kujua pakoje na tamaduni zao.

Camera ya AyoTV ipo na wewe time hii kutoka Moroni kukuelezea na kukuonyesha upande huo ukoje.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке