MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!

Описание к видео MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!

MUGABE: Rais Aliyepania Kuwakomesha WAZUNGU Wakakoma Watu Wake!

Ukisikia watu wanasema tuko nyuma yako 'be careful' maana ukigeuka unaweza usiwakute. Hii nimeiona 'live' kwa Robert Mugabe pale alipojitoa muhanga kuwakwida mabeberu kwa maslahi ya Afrika, wakaumia wananchi wake kwa vikwazo vya uchumi na diplomasia, viongozi wa Afrika wakamtelekeza, leo hii amekufa viongozi wanashindana kumsifia Mugabe kwa mbwembwe na mikogo kwa sababu marehemu hatukanwi. Haya ndiyo maajabu makuu ya viongozi wa Afrika!

Tatizo la Afrika ukiwa kiongozi mzuri ni sawa na kuchagua kifo, wasipokuua basi watakukwamisha kama walivyomkwamisha Nyerere na ujamaa wake, Mandela na msahama wake, Kaunda na suti zake na Mugabe na misimamo yake.

#historiayamugabe

https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos Here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos Here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.TZ Facebook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App:

Комментарии

Информация по комментариям в разработке