Jinsi ya Kupika Mihogo ya Kukaanga na Nyama mitamu na laini sana.

Описание к видео Jinsi ya Kupika Mihogo ya Kukaanga na Nyama mitamu na laini sana.

Habari wapenzi karibuni muangalie video yangu Nimependa ku share nanyi Jinsi ya Kupika Mihogo ya Kukaanga pamoja na Nyama ya Kukaanga ni mitamu sana kuna njia nyingi sana tofauti tofauti za upishi ila nimependa kutumia njia hii kwani ni rahisi na haitumii muda mwingi karibuni sana.


MAHITAJI.
Muhogo 1
Chumvi
Mafuta
Nyama
Nyanya ya kachumbari 1
Kitunguu maji 1
................................................................................................................................................

#mihogo##casava #easyrecipe #mapishiyakiswahili #mapishirahisi #africanfood #foodlover #food #tanzanianyoutuber

Комментарии

Информация по комментариям в разработке