Mashemeji Derby | Gor Mahia 1-2 AFC Leopard | Highlights | FKF Premier League - 14/05/2023

Описание к видео Mashemeji Derby | Gor Mahia 1-2 AFC Leopard | Highlights | FKF Premier League - 14/05/2023

Tazama matukio muhimu na kwa ufupi yaliyojiri kwenye mchezo wa FKF Premier League uliozikutanisha Gor Mahia dhidi ya AFC Leopard, hii ni Mashemeji Derby ya nchini Kenya iliyomalizika kwa Leopard kuondoka na ushindi wa magoli 2-1.

Magoli ya AFC Leopard yalifungwa na Victor Omune na Maxwell Otieno wakati lile la Gor Mahia likifungwa na Austin Odhiambo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке