Mtoto mwenye umri wa miaka mbili afariki baada ya kuangukiwa na jiwe eneo la Eastleigh

Описание к видео Mtoto mwenye umri wa miaka mbili afariki baada ya kuangukiwa na jiwe eneo la Eastleigh

Mtoto mwenye umri wa miaka 2 amefariki mtaani Eastleigh hapa jijini Nairobi baada ya kuangukiwa na jiwe kutoka jengo linaloendelea kujengwa. Ukuta wa jengo hilo ambalo limefikia ghorofa ya kumi uliangukia nyumba iliyoko mkabala na kumuua mtoto huyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке