DED matatani akidaiwa kuonesha dharau kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru

Описание к видео DED matatani akidaiwa kuonesha dharau kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Abdul Mtaka ameingia matatani kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa baada ya kudaiwa kuonesha dharau wakati akiulizwa maswali mbalimbali.

#AzamTVUpdated

Комментарии

Информация по комментариям в разработке