Saves za golikipa Ally Salim Simba vs Yanga (2-0) | NBC Premier League 16/04/2023

Описание к видео Saves za golikipa Ally Salim Simba vs Yanga (2-0) | NBC Premier League 16/04/2023

KARIAKOO DERBY: Ni mechi iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-0 dhidi ya Yanga huku wakiwa wameingia na 'surprise' ya golikipa wao namba tatu, Ally Salim ambaye alikuwa akiicheza mchezo wake wa pili kwenye ligi lakini derby ya kwanza katika historia ya maisha yake.

Hii ni sehemu ya kazi aliyoifanya langoni kwa Simba...

Je, unadhani angekuwa mwingine ubao wa matokeo ungesomekaje?

Комментарии

Информация по комментариям в разработке