Paulina Fanuel ft Ashley Nassary - Unatengeza Njia (official video)

Описание к видео Paulina Fanuel ft Ashley Nassary - Unatengeza Njia (official video)

Hakika Mungu anatengeneza njia hata pasipo na njia kama vile alivyowavusha wana wa Israel kwenye Bahari ya Sham. Hata wewe anaweza kukuvusha maana yeye ni mkuu sana. Ubarikiwe kwa kusikiliza wimbo huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке