VITASA | Emmanuel Mwakyembe vs Said Bwanga | Pambano kali | NGOMA NZITO 24/02/2023

Описание к видео VITASA | Emmanuel Mwakyembe vs Said Bwanga | Pambano kali | NGOMA NZITO 24/02/2023

USIKU WA VITASA: Bonge moja la pambano likimkutanisha mkongwe Emmanuel Mwakyembe dhidi ya kijana mgeni kwenye ngumui za kulipwa… Said Bwanga. Zilikuwa ni raundi sita tamu, vitasa vikitembea kikamilifu lakini shughuli ikamalizika kwa sare.

Ni #VitasaNight #NgumiImenyooka ndani ya #UbungoPlaza kuelekea pambano kuu kati ya Tony Rashid vs Sabelo Ngabinyana LIVE #AzamSports1HD

Комментарии

Информация по комментариям в разработке