Msukuma agusia sakata la Sukari, ataka mabadiliko ya Sheria kukwamua wananchi

Описание к видео Msukuma agusia sakata la Sukari, ataka mabadiliko ya Sheria kukwamua wananchi

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Kasheku (Msukuma) ameishukia Serikali akitaka kufanyika marekebisho ya haraka ya sheria zilizowekwa kwenye bidhaa ya sukari ili kuwaokoa wananchi kutokana na kuwapo bei holela.

Ameyasema hayo leo Juni 19, 2024 wakati akichangia Bajeti ya Serikali ya 2024/25 bungeni jijini Dodoma.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке