ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео ROHO MTAKATIFU (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Mungu ni roho na katika kumtafuta Yeye tunamtafuta katika roho,lakini pia Mungu ni lazima awe halisi katika maisha yetu ili aweze pia kutambulika kwa wasiomfahamu.Mungu kuna mahali akikufikisha hata wale ambao hawajawahi kukuheshimu Yeye atakuheshimisha.Huyu Roho Mtakatifu hutufundisha yote na kutuongoza katika yote,kwahiyo tukitaka tufanikiwe rohoni na mwilini ni lazima tujifunze kufanya kazi na Roho Mtakatifu.

Ikiwa ni sehemu ya tatu ya somo hili la Roho Mtakatifu,karibu ujifunze namna ambavyo unaweza kufanya kazi na Roho Mtakatifu.

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook:   / therealityof.  .
Follow our Instagram:   / realityofch.  .
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке