Akili anapenda wanyama! | Jifunze na Akili and Me | Katuni za Elimu

Описание к видео Akili anapenda wanyama! | Jifunze na Akili and Me | Katuni za Elimu

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!

Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswah...

Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

http://www.akiliandme.com
  / akiliandme  

Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.

https://www.ubongo.org

Imewezeshwa na Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

Комментарии

Информация по комментариям в разработке