Ujenzi Wa Apartments wa Gharama Nafuu

Описание к видео Ujenzi Wa Apartments wa Gharama Nafuu

Nyumba hizi zimejengwa kwenye plot yenye ukubwa wa mita za mraba 1200 , kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule na dinning. Gharama za Ujenzi kwa Kila jengo ilikuwa million 75 za Kitanzania. Gharama hizi hazitafanana kwa kila site au kwa kila eneo, hivyo isikuogopeshe, site hii ilikuwa na slope kali na nyumba ilibidi inyanyuke sana na hii ilisababisha gharama za ujenzi ziwe juu kidogo.
Upo tayar? Hakikisha unatutafuta.
Karibu swahili units, builders and estates kwa huduma za finishing, interior and exterior designs, Renovation services, land scaping pamoja na utayarishaji wa Raman na ujenzi wa majengo yote kwa ujumla wake(ya makazi,ya kibiashara na yale ya kijamii), hapa swahili units, estates and builders tunasema #leta_ndoto_yako_tukupe_nyumba_yako #we_dont_do_cheap_designs_we_do_affordable_designs

Комментарии

Информация по комментариям в разработке