Alain Ng'assa M.A.I.YA

Описание к видео Alain Ng'assa M.A.I.YA

kwa neema ya kristo tumetunga nyimbo hii inayoitwa M.A.I.YA, yaani Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo, mupendwa nakusihi ufwate vidéo hii bila Shaka utabarikiwa, maana ni nyimbo ya maombi tena yakumusihi Mungu kufanya kitu mupya katika maisha yako ,acha basi Bwana akupe aja ya moyo wako ili usiliye tena....tufuate basi nyimbo pamoja

Комментарии

Информация по комментариям в разработке