Namna bendera zilivyopandishwa Ikulu mpya ya Chamwino

Описание к видео Namna bendera zilivyopandishwa Ikulu mpya ya Chamwino

Hivi ndivyo bendera ya Taifa, Afrika Mashariki pamoja na ile ya Rais zilivyopandishwa juu kabisa kwenye uso wa jengo jipya la Ikulu mpya ya Chamwino na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu anayeongozwa uzinduzi wa Ikulu hiyo ya Makao Makuu ya nchi, Dodoma.

TUKO LIVE #UTV108 na kwenye mitandao yetu ya kijamii.

#UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania

Комментарии

Информация по комментариям в разработке