Zamu ya Huduma|| The Saints Ministers {Skiza Code 76110161}

Описание к видео Zamu ya Huduma|| The Saints Ministers {Skiza Code 76110161}

CONTACT US: +254729536122

Like Our Page-  / thesaintsministerssingerskenya  

Ephesians 4:10-14.
LYRICS
Chorus
Zamu ni yangu ya huduma, zamu ni yetu ya huduma, (sitakimya sitalegea nitasimama niende zamu ni yangu ya Huduma.) *2

{Bridge}
Mwanzilishi wa huduma hii, Mwana wa Mungu alihudumu kwa wote.

Aliyeshuka alipaa juu mbinguni avijaze vyote, Akatoa mitume manabii, wachungaji, wainjilisti, na walimu.
{ Chorus}

Stanza 2
Kwa kusudi la kuwakamilisha, watakatifu wote, Hata kazi ya Huduma, itendeke, hata mwili wa Kristo, ujengwe.

Bridge.
Mwanzilishi wa huduma hii, mwana wa Mungu alihudumu kwa wote.

Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa Imani, na kumfahamu sana Mwana wa Mungu mkamilifu, tufikie kimo chake cha utimilifu.
{Chorus}

Stanza 3
Kwa maana nilikuwa njaa hukunilisha, Nilikuwa na kiu hukuninywesha
Mgeni kwako mimi sikukaribishwa.
Uchi wangu hukunivika
Nilikuwa hospitali sikutembelewa,
Kifungoni nilikuwa hukunijia
Muda ni sasa Mwenzangu hudumu kwa wote, ili siku ya mwisho uwe mrithi.

PLEASE SUBSCRIBE :
   / @thesaintsministers  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке